Inatafuata...


Emergency Travel Documents Informations


#1.Mwanzo       #2.Maombi Mapya       #3.Muombaji Anayeendelea       #4.Ufuatiliaji Ombi


Hii ni huduma mpya inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Hati ya Dharura kwa njia ya Kielektroniki kutokea popote alipo, Baada ya kujaza fomu hiyo mtandaoni na kuambatisha picha yake kama atakavyoelekezwa mtandaoni, atatakiwa kuichapisha (Print) fomu hiyo na kufika nayo katika Ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu naye kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yake ya Hati ya Dharura.

Huduma hii itamwondolea usumbufu wa kwenda ofisini kuchukua fomu ya maombi ya pasipoti, na badala yake ataipata na kuijaza fomu hiyo mtandaoni. Aidha, itasiaidia katika kuimarisha utunzaji wa kumbukumbu na baadae kumwezesha mteja kufuatilia hatua lilipofikia ombi lake kwa njia ya mtandao.
 

Emergency Travel Documents Informations System © 2024 All Rights Reserved  ||  STAFF LOGIN